You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Matarajio Adimu (Great Expectations)
Faster downloadPublished Year: 2012
Language: sw
Details: Categories: ["Fiction / Classics", "Fiction / Literary", "Fiction / General"]
Summary: Matarajio Adhimu ni kitabu cha riwaya za Charles Dickens. Riwaya ambazo kwa mara ya kwanza zilichapishwa kwa mfululizo kwa mwaka mzima kuanzia tarehe 1 Desemba 1860 hadi mwezi Agusti 1861. Riwaya ambazo zimeweza kuigizwa na kuchezwa filamu zaidi ya mara 250. Matarajio Adhimu, kimeandikwa kwa nafsi ya kwanza kuhusu mtoto yatima aitwaye Pip. Kitabu hiki, kama zilivyo riwaya za Dickens, kinaelezea uzoefu wa maisha alisia na watu nyakati hizo.