You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
Mafunzo ya Afya ya Uzazi
Nyongeza ya Mtalaa Kwa Vijana
Faster downloadLanguage: sw
Details: Alternate source: https://pdf.usaid.gov/pdf_docs/PA00HRNF.pdf
Summary: Vijana kama watu wazima wanahitaji motisha ili waweze kufanya uamuzi bora kuhusu hali yao ya uzazi. Ishara inayoonyesha kuwa matokeo ya hali nzuri ya uzazi yanahusikana na kupata fursa ya elimu na uchumi. Mipango madhubuti inayolenga vijana inawahimiza vijana kuwa na ujuzi na vipaji ambavyo vinawapa fursa ya ajira na elimu bora. Ikiambatanishwa na huduma na elimu bora ya uzazi, mipango hii inaweza kuwapa motisha vijana kuhairisha mambo ya ngono au kutenda ngono kwa tahadhari kwa kuwasaidia kuelewa matokeo ya kudumu ya uamuzi wao na umuhimu wa kupanga maisha yao ya baadaye.