You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
Safari ya Prospa
Published Year: 1995
Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/safari-ya-prospa/
Summary: Merisho ana umri wa miaka minne,ni mpwa wa Prospa na mtoto pekee wa Mwalimu Josefina. Merisho anatoweka katika mazingira ya kutatanisha. Juhudi zote za Mama na Polisi zinagonga mwamba. Kwa hiyo Prospa anajitosa kwenye ulimwengu wa ujasusi na kuamua kwenda Darisalam kumtafuta ndugu yake. Je atafanikiwa?