You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Ushujaa wa Fatuma
Published Year: 2004
Language: sw
Details: link: https://mkukinanyota.com/product/ushujaa-wa-fatuma/
Summary: Ni hekaheka za sherehe ya harusi. Watu wazima wanakimbia na kuhangaikia shughuli hiyo. Wanatoa nafasi ndogo kwa watoto. Hawawasikilizi. Hawawajali. Msichana shujaa, Fatuma, anatumia mbuny ya juu kuwakumbusha watu wazima kuwa hata wao, yaani watot, wapo pia. Alifanyaje? soma ugundue.