You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"

Sarufi ya Kiswahili

Language: sw

Details: link: https://mkukinanyota.com/product/sarufi-ya-kiswahili/

Summary: Kitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya ufundishaji wa Safuri ya Kiswahili katika Shule za Msingi. Pia kitawafaa wanafunzi wa Shule za Sekondari na vilevile wageni wanaojifunza Lugha ya Kiswahili ili waimudu vyema katika kuiandika na kuzungumza. Waandishi ni walimu wenye uzoefu wa kufundisha somo hili na wenye uelewa wa matatizo ya wanafunzi katika kujifunza Safuri ya Kiswahili.