You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"

Kaona Njigi Kadhani Njege

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://mkukinanyota.com/product/kaona-njigi-kadhani-njege/ Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili

Summary: Bahati inapojitokeza mara nyingi haijulikani inakotoka. Ishara zake zinaweza kuwa nyingi au chache. Katika hadithi hii tamu, binti mmoja anapata bahati kwa kumfuata ndege aina ya Yangeyange anayemvuta kwa kumdondoshea shanga nzuri sana. Soma ugundue siri ya ndege na shanga nzuri.