You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
Methali za Kiswahili - Kitabu cha 1
Maana na Matumizi
Published Year: 2006
Language: sw
Details: link: https://mkukinanyota.com/product/methali-za-kiswahili-kitabu-cha-1/
Summary: Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya Methali za Kiswahili. Kina mambo yafuatayo: Methali mia moja na ishirini na tano za Kiswahili Methali zenyewe zimepangwa kiabjadi Kila Methali imeelezewa maana yake, hekima yake na jinsi inavyotumiwa. Ni kitabu muhimu kwa kila mwalimu na mwanafunzi wa Kiswahili, na kila aipendaye lugha hii.