You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
Utenzi wa kunguru
Published Year: 2005
Language: sw
Summary: Utenzi wa Kunguru unaelezea kisa cha Kunguru aliyeupenda mwendo wa Bata hata akaamua kumuiga. Mateso yalimuandama. Soma ujue hasara za kuiga mambo yasiyofaa.