You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"

Mlima Kilimanjaro Fahari Yetu

Published Year: 2016

Book Thumbnail

Language: sw

Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/mlima-kilimanjaro-fahari-yetu/ Category: Reference Books for Primary Schools

Summary: Mlima Kilimanjaro, Fahari Yetu kinaelezea mambo muhimu kuhusu Mlima Kilimanjaro. Kwa kutumia taarifa za wanasayansi watafiti waliochunguza barafuto za milima mikubwa duniani kwa muda mrefu,kitabu kinatoa maelezo ya kina kuhusu ni kwa nini barafuto za Mlima Kilimanjaro zinapotea kwa kasi. Kinaelezea pia faida za mlima kwa jamii inayouzunguka na taifa kwa ujumla, pamoja na wajibu wetu katika kuhifadhi mazingira ya Mlima kilimanjaro ambao ni urithi kwa Watanzania wote. For English see Mount Kilimanjaro: Our Pride