Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

View this book in English Reporting on Migrants and Refugees
Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Kuripoti kuhusu Wahamiaji na Wakimbizi
Mwongozo wa walimu wa uanahabari
Mwaka 2023
sw
Kurasa 333
Pakua 33.6 MB
Mwongozo huu unawawezesha walimu wa uanahabari kote duniani kushughulikia changamoto mo-jawapo za karne ya 21 — masuala ya uhamiaji na wakimbizi. Mkusanyiko huu wa moduli 13 unawapa walimu wa uanahabari mtaala mpana wenye maarifa na mambo mengi yanayohitajika kufundishia, kuchanganua, kutafiti, kuwasilisha, kuuza na kuangazia itikeli katika kuripoti kuhusu uhamiaji.Mwongozo huu ni wa kipekee kwani unashirikisha matokeo ya utafiti wa fani ya mawasiliano pamoja na sayansi za siasa na jamii. Umestawishwa na kundi la kimataifa na lililoleta pamoja tamaduni mbali mbali la watafiti wa masuala ya vyombo vya ha-bari, waelimishaji wa uanahabari na wanahabari wazoefu.Wakiutumia mwongozo huu, waelimishaji wa uanahabari wataa-sisi mtaala mpya. Wanafunzi wa uanahabari watajifunza kwam-ba masuala ya uhamiaji na uhamaji wa kulazimishwa yanahusu binadamu na ndiposa yanahitaji ufahamu wa kanuni na taarifa sahihi za kweli, vyanzo vya kuaminika na kutegemewa, kuripo-ti wakizingatia itikeli na utendaji kazi bora. Wanahabari wenye tajiriba watafaidika kwa kutumia mwongozo huu kama kifaa cha kujifundisha wenyewe, nayo mashirika ya maendeleo ya vyombo vya habari yanaweza kuushirikisha mtaala huu katika mipango yao ya mafundisho.Mazao ya huu yatakuwa ripoti pana za habari kuhusu masuala ya uhamiaji na wakimbizi kuanzia nchi wanakotoka, wanakopitia na wanakoenda, na mjadala unaoangalia pande zote ukizingatia ufahamu kamili katika nchi na tamaduni mbali mbali.“Kwa kuwa vita huanzia ndani ya akili za wanaume na wanawake, ni ndani ya akili za wanaume na wanawake ambamo lazima kinga za amani zijengwe”
...
ISBN: 9230001848
Shukrani kwa Erich Brost Institute for International Journalism
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all