Publisher World Chess Hall of Fame
Kijitabu hiki cha mazoezi kimeandaliwa kwa ajili ya mtu yeyote anayetaka kujifunza nukuu za sataraji (Chess). Kimeundwa na Dk. Jeanne Cairns Sinquefield, mwanzilishi mwenza wa Klabu ya Sataranji ya Saint Louis na kiongozi wa mradi wa Chess katika Skauti wa Wavulana wa Amerika; kitabu hiki kina vyote vinavyotakiwa! Ni rahisi kutumia kwa watu wanaopendo kujifunza kupitia michoro. Kina mpangilio mzuri unaolinganisha kusoma, kusema, kuandika na kusogeza kete ili kukuza uelewa wa nukuu ya sataranji haraka sana!
Kijitabu hiki kinatumika pia darasani ili kuwasaidia watoto:
- Kujifunza kusoma, kuandika na kufuata maelekezo.
- Kuongeza ufahamu wa muundo ili kutambua mifumo.
- Kukuza ujuzi na mikakati ya kukariri na kutatua matatizo.
...